Job 31:15-16


15 aJe, yeye aliyeniumba tumboni mwa mama yangu,
si ndiye aliwaumba?
Je, si ni yeye huyo mmoja aliyetuumba sote
ndani ya mama zetu?


16 b“Ikiwa nimewanyima maskini haja zao,
au kuyaacha macho ya wajane yadhoofike,
Copyright information for SwhKC